Artiste: Diamond Platnumz Ft. Raymond Rayvanny
Song Lyrics: Salome
[Verse – 1]
Kioo akidanganyi mama
umejipodoa umepodoka
Mwendo na shepu vyote mwanana
Mimi suruari yanidondoka
Tukimbizane nini salome wangu?
Iyo michezo ya jogoo
Mbona watizama chini salome wangu
Ukimuona jongoo
Inama kidogo shika magoti
Nimesimama kama ngongoti
Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili sambasoti
[Chorus]
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe
[Verse – 2]
Utamu kolea aprokoto
Ting’ari ting’ari ndani kwa moto
Nitamnyongea msokoto
Niteme sumu kali kama koboko
Eeeh Mapenzi yananipa shida
Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba
Tiba bwana usije baby kanicharanga
Kanichambua moyo kama karanga
Mie baby kwenye msambwanda, huwa siendagi
ngenge ni nganganga.
[Chorus]
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe
Diamond Platnumz Salome Ft. Raymond Rayvanny lyrics